Leo nakusanua namna nyingine ya kuangalia kama iphone yako imetumika kwa muda gani ama haijatumika kabisa kupitia Cycle counts sio battery 🪫 health hii unakuta kabisa iko 100% lakini simu imetumika miaka na haikai na charge

Apple wanakwambia kwamba iphone ikifikisha 500 cycle counts approximately battery health inatakiwa kua kwenye 80% ndio mahesabu yao sasa unakuta iphone yako ina cycle counts 700 na battery health yake bado iko vile vile 100% 

na unajiaminisha au unaaminishwa ni mpya


na unajiaminisha au unaaminishwa ni mpya
Cycle counts ni vile unavyotumia simu yako toka ikiwa 100% mpaka 0% kwa maana ya kwamba umei charge full ikajaa 100% na umeitumia mpaka 0% hio inajesabika ni 1 cycle count ,au kuna muda labda unatumia mpaka 75% then unaichaj tena mpaka 100% unatumia tena mpaka 25%

Ukichukua 75%+25% unapata 100% hapo tayari cycle count moja imekamilika ,sasa namna ya kutizama cycle count kwenye iphone ni unaenda
Settings >privacy &security >analytics &improvements >analytics data
Hapo utaona analytics za tarehe ya leo na mwaka wa leo

Click hio analytics report ya kwanza na itakuletea taarifa kama unavyoona hapo chini,highlight maneno yote unayo yaona hapo chini na uya copy thena nenda ka paste kwenye notes kama inavyoonekana hapa chini


Post a Comment