Kuna hizi settings unaweza zifanya kwenye simu yako na uka set mtu fulani tu akipiga aambiwe hupatikani ,wengine wakipiga simu iite kama kawaida

Wewe umem block 😒!
Sasa hii hapa njia ambayo ukimfanyia mtu flani ni anakua akipiga simu anaambiwa tu simu haipatikani mpaka akucheki na namba mpya ndo anaweza kukupata ila tofauti na hivi hawezi kukupata ,

Nenda kwenye contacts na uchague namba ambayo unataka
Ikikupigia iambiwe hupatikani then click kwenye info na u add kwenye blacklist na hii unaweza kuzifanyia namba zaidi ya moja na muda wowote ukitaka uanze kupatikana ni una zinremove tu kwwnye blacklist

Post a Comment

Previous Post Next Post