Simu used huwavutia watu wengi sana,kutokana na bei zake kua cheap na kuwa na uwezo ule ule kama simu tu mpya!

Kabla hujafanya maamuzi ya kununua simu yeyote used zingatia haya
🦅VITU 6 VYA KUZINGATIA KABLA HUJANUNUA SIMU USED
⚡️⚡️⚡️⚡️⚡️⚡️
Simu used huwavutia watu wengi sana,kutokana na bei zake kua cheap na kuwa na uwezo ule ule kama simu tu mpya!
Kabla hujafanya maamuzi ya kununua simu yeyote used zingatia haya 👇👇
1.Epuka simu za wizi Polisi kuna kesi nyingi sana za wizi wa simu,na asilimia kubwa ya watu wanaokamatwa sio walio iba ila wameuziwa simu za wizi, kuepuka hili hakikisha anaye kuuzia anakupatia risiti aliyonunulia au boksi la simu lenye IMEI namba za hio simu
1.Epuka simu za wizi 
Polisi kuna kesi nyingi sana za wizi wa simu,na asilimia kubwa ya watu wanaokamatwa sio walio iba ila wameuziwa simu za wizi, kuepuka hili hakikisha anaye kuuzia anakupatia risiti aliyonunulia au boksi la simu lenye IMEI namba za hio simu
Kama hana vyote nendeni mkaandikishane serikalini kuuziana simu
2.CHEKI KAMA SIMU NI FAKE AU ORIGINAL . Ichunguze vizuri hio simu ukiilinganisha na simu nyingize za aina hio kwa kuangalia settings au kwa kutuma imei namba zake tcra na baadae wakupe jina la hio simu kama sio mtundu sana kwenye kuchinguza ipi fake ipi original unaweza
Kunitafuta nikakuelekeza baadhi ya vitu muhimu, 3.KAGUA SEHEMU ZAKE KWA UJUMLA Baada ya kujiridhisha kua simu sio fake na sio ya wizi ,sasa kagua sehemu zake zote kama zinafanya kazi vizuri ikiwemo tundu la charger,earphone,sehemu la laini,kioo cha simu ,piga na
Kupokea simu ,mlio wake ,jaribu kutuma ujumbe pia ,angalia sensor zote kama zinafanya kazi,baada ya kujiridhisha na hivo vitu hakikisha unai factory reset simu yako ianze upya kama mwanzo ili kuepuka mtu asiku spy 🕵️‍♀️ 4.FANYA SELF CODE TEST Simu nyingi kwa sasa
Unaweza ku type code flani mfano emu type *#0*# mara nyingi kwa simu za samsung itakuletea options kama inavyoonesha hapa chini ambapo unaweza ku test kipi kinafanya kazi vizuri
Unaweza ku type code flani mfano emu type *#0*# mara nyingi kwa simu za samsung itakuletea options kama inavyoonesha hapa chini ambapo unaweza ku test kipi kinafanya kazi vizuri
5.BARGAIN BEI NZURI Asikupige sana 😃😀 simu used bei yake hua ni ndogo ukilinganisha na simu mpya na wengi wao hua wanatoa simu peke yake

Post a Comment

Previous Post Next Post