Inapotokea mtu ameku hack au anafatilia mazungumzo yako,kila kitu kinachokua kinaingia kwenye simu yako basi lazima na yeye anakua anakiona,ukihisi hivo usipanic

🦅UKIONA HIZI DALILI UJUE UMEKUA HACKED 🤯MAZUNGUMZO YAKO NA SMS KWENYE SIMU!

🧵🧵🧵!

Inapotokea mtu ameku hack au anafatilia mazungumzo yako,kila kitu kinachokua kinaingia kwenye simu yako basi lazima na yeye anakua anakiona,ukihisi hivo usipanic 🛀.Retweet afu njoo 👇
1.tambua Imei namba yako kwa kupiga code *#06# hii haikusaidii kujua ni nani ameku hack ila itakupa imei number za simu yako ili hata kama ni kesi unataka ku file utatumia hizo imei namba
1.tambua Imei namba yako kwa kupiga code 
*#06# 

hii haikusaidii kujua ni nani ameku hack ila itakupa imei number za simu yako ili hata kama ni kesi unataka ku file utatumia hizo imei namba
2.Simu yako inakua inaita mara moja then inakata chap au inaita then huoni ata anayepiga au ujumbe wowote ulioingia hii kitaalamu tunaita conditional call forwarding tumia code ya *#61# ikikuletea forwarded pote ujue kuna mtu ameku hack tayari hii picha chini ina maana upo salama

3.Tumia *#61# kufuta hio hali ya kua forwarded na iandike call forwarding erase successfully 👍😀 sasa upo salama Kabisa Boss
3.Tumia *#61# kufuta hio hali ya kua forwarded na iandike call forwarding erase successfully 👍😀 sasa upo salama Kabisa Boss
4.Kujua kama kuna mtu anapokea calls zako na sms zako unapokua umezima simu au kwenye mtandao mbaya tumia hii *#62# kama italeta tofauti na ilivyoleta hapa chini basi bofya ##62# kufuta aina hio ya hacking

5.Tumia hii code *#004#  kujua kama mtu ameku hack ukiwa huptikani,ukiwa busy,unapokua hupokei badala ya kutumia *+, *, na *#67# kua huru kutumia inafanya kazi kama hizo zingine tu ,tumia ##004# kufuta hali zote za kuwa hacked
5.Tumia hii code *#004#  kujua kama mtu ameku hack ukiwa huptikani,ukiwa busy,unapokua  hupokei badala ya kutumia *#61#, *#62#, na  *#67# kua huru kutumia inafanya kazi kama hizo zingine tu ,tumia ##004# kufuta hali zote za kuwa hacked
6.ma intruder wengine huenda mbali zaidi wana hack simu zako,message zako kwenye hali zote haijalishi utakua kwenye hali uwe busy,uwe hupatikani wanaona kila kitu chako ,tumia code ya *#21#
intruder wengine huenda mbali zaidi wana hack simu zako,message zako kwenye hali zote haijalishi utakua kwenye hali uwe busy,uwe hupatikani wanaona kila kitu chako ,tumia code ya *#21#
Kama utaona umekua hacked kwa njia hio tumia ##21#kufuta aina hii ya hacking
Kama utaona umekua hacked kwa njia hio tumia ##21#kufuta  aina hii ya hacking

Post a Comment

Previous Post Next Post