inaweza kutokea ukapoteza simu yako na ukawa hukumbuki IMEI number yako ,either risiti au boksi navyo umepoteza,ukiwa na IMEI number itawasaidia polisi kuweza kujua ni laini ipi imewekwa kwenye simu yako uliyo

🦅UMEIBIWA SIMU NA HUKUMBUKI IMEI NUMBER UFANYE NINI:
⚡⚡⚡⚡⚡⚡⚡
inaweza kutokea ukapoteza simu yako na ukawa hukumbuki IMEI number yako ,either risiti au boksi navyo umepoteza,ukiwa na IMEI number itawasaidia polisi kuweza kujua ni laini ipi imewekwa kwenye simu yako uliyo
Ibiwa ,namna ya kufanya ili uipate imei namba yako 1.hakikisha unakumbuka gmail yako na password yake ,download apllication inaitwa find device kutoka play store,baada ya ku install kwenye simu nyingine inatakiwa u sign in kama guest kwenye hio simu nyingine
Ibiwa ,namna ya kufanya ili uipate imei namba yako 
1.hakikisha unakumbuka gmail yako na password yake ,download apllication inaitwa find device kutoka play store,baada ya ku install kwenye simu nyingine inatakiwa u sign in kama guest kwenye hio simu nyingine
Baada ya ku sign in itakuletea jina la simu yako na location ilipo na mara ya mwisho kuonekana online ,pia itakupa list ya vifaa ambavyo vimewahi au vinatumia gmail account yako

Bonyeza iko kitufe nilicho kiwekea mshare hapa chini na baadae kitakuletea imei namba kama inavyoonekana

Post a Comment

Previous Post Next Post