kabla sijakupa namna ya kujua nitaanza na sababu zinazo pelekea jokofu lako kutumia umeme mwingi

-Kulifungua mara kwa mara
🦅UNAJUA FRIDGE LAKO LINATUMIA UMEME KIASI GANI KWA SIKU ?

kabla sijakupa namna ya kujua nitaanza na sababu zinazo pelekea jokofu lako kutumia umeme mwingi 

-Kulifungua mara kwa mara
-kutokua na elimu sahihi ya kimatumizi -kuweka vitu vingi kwenye fridge -kutumia containers zenye asili ya chuma ama copper -kuweka setting kubwa ambayo haijapendekezwa na kampuni husika
Mbele ya fridge hua kuna hii stika ambayo imeandikwa details za fridge kama hii Chukua hio 123/360 =0.34kwh Ikimanisha kwamba friji lako linatumia unit 123 kwa mwaka ndio maana nimegawia kwa siku 360 ambazo ni mwaka mzima utapata hizo unit 0.34kwh kwa masaa 24 inatumia hizo
Mbele ya fridge hua kuna hii stika ambayo imeandikwa details za fridge kama hii 

Chukua hio 123/360 =0.34kwh

Ikimanisha kwamba friji lako linatumia unit 123 kwa mwaka ndio maana nimegawia kwa siku 360 ambazo ni mwaka mzima utapata hizo unit 0.34kwh kwa masaa 24 inatumia hizo

Unit ,provided kwamba hujalipeleka kwa fundi akabadili baadhi ya vitu kama compressor

Post a Comment

Previous Post Next Post